Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MBWA WA MANZESE
Mbwa Jimy katika pitapita yake mtaani huko Masaki akapita karibu na geti la jumba moja la kifahari, katika kushangaa mjumba akamuona mbwa getini akasogea ili amsalimie, mbwa wa Masaki akamtazama sana mbwa huyu wa Manzese kisha akauliza hizi nawe ni mbwa kama Mimi? Mbona umekondeana, manyoya yamepauka tena yanapukutika, macho yamekodoka una nini?
Duh!
 
Back
Top Bottom