cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Anasema mjini patamu ha ha haa
Achana nae huyo ana roho inanuka kwanza [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu kaja kuchafua hali ya hewa kwenye huu uzi sasa hivi unafungwa. Maana kwa gundu alilinalo sijui?
Kama kawa kama dawaNaona gurudumu bado linasukumizwa
Me nawaangalia tu mjue[emoji23] [emoji23]Haya sasa mm na ww Nani anajifariji
Pokea na wewe zamu yakoDaah yani natoa likes hadi nasahau ku post
Kupapasa niniMzee wa kupapasa
Likes likeWanasahau hadi kulike
TehKumbe alipokuwa anapokea mshahara akawa anaendeleza kwao ananisumulia anayofanya
Good afternoon my QueenGood afternoon