myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:35
Hapa ndo mtihani kwa wengiKamwe usikubali kupanda pikipiki bila kofia ngumu; linda afya na uhai wako kwa kuvaa kofia ngumu leo.
Oya hii kitu siyo unarudia?Kofia ngumu yenye ubora mzuri huwekwa kioo kinachomsaidia dereva kuona vizuri. Kioo hiki hukinga macho ya dereva dhidi ya vumbi na upepo, hivyo kumuwezesha kuona vyema kule anakoelekea.
Kumbuka kuona vyema barabarani ni jambo muhimu sana ambalo husaidia kuepusha ajali.