Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MWANAUME. Kama mke wako haeleweki na unaelekea kukata tamaa; suluhisho siyo kuikimbia nyumba. Suluhisho siyo kutafuta 'side dishes'. Suluhisho siyo kumtandika.

Suluhisho ni kusimama kiume. Suluhisho ni kuhakikisha mnafika mwisho mwema. Na huyo huyo mke wako mtata.
 
Back
Top Bottom