[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana
Nalipata mkuu,, zle lyrics bhana dah,, kweli ni nastyChaba bhabha [emoji23]... kumbe unalipata?
PointTusihangaike sana na mabadiliko ya tabia nchi, tuhangaike zaidi na tatizo la tabia watu. Binadamu ndio waharibifu wa mazingira kutokana na ulafi wa uzalishaji hata kwa kile tusichotumia