Pole ila hata sijui nakupa pole ya nini daah post nyingi kufukua kaziAmina [emoji120]
Hahah!! asante sana...Pole ila hata sijui nakupa pole ya nini daah post nyingi kufukua kazi
[emoji23][emoji23][emoji23] mzik Naupenda bro,mara nying nikiwaga free, basi mzik ndo kiburudsho changu aiseeBraza wewe ni mtu wa muziki aisee sikutegemea kama kuna mtu angewezekua analijua hilo dude [emoji23]...
Chaba bhana alivyomuelezea huyo demu sasa na anavyotamka maneno basi burudani tupu..
Kuna nyingine yaitwa kafie kwenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jirani hzo ndio mpya za kunipa
Watt wa kike dizaini aliyoisema Chaba,,, wapo Arusha hukoBraza wewe ni mtu wa muziki aisee sikutegemea kama kuna mtu angewezekua analijua hilo dude [emoji23]...
Chaba bhana alivyomuelezea huyo demu sasa na anavyotamka maneno basi burudani tupu..
Aisee!"Amjuaye mwanga anawanga naye"
Mambo mkuu moudHATYPOI : salaam kitoo
Kwazile lyrics lazima umtengeneze kichwani huyo demu mwenyewe [emoji23][emoji23]...[emoji23][emoji23][emoji23] mzik Naupenda bro,mara nying nikiwaga free, basi mzik ndo kiburudsho changu aisee
Chaba bna,,ukisikiliza hzo lyrics lazma ucheke sana hlaf unavuta picha ya huyo demu anatolewa hzo sifa [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona siwaelewi waelewi[emoji1] View attachment 792078