KweliWanawake walio katika hedhi hawawezi kufunga, kusoma kitabu kitakatifu cha Quran ama kuingia msikitini. Pia sio lazima kwa mjamzito kufunga wakati wa mwezi wa Ramadhan ,wakati unapokuwa mgonjwa , unapokuwa na umri mkubwa kama vile wazee, unapokuwa na tatizo la kiakili, unapokabiliwa na njaa ama kiu kikali, unaposafiri ama hata iwapo maisha yako yatakuwa hatarini iwapo hautafungua.
Heshima na kwako pia.heshima kwenu wadau ""....
Sema bro. Mifungo hii myepesi sana kuharibika aisee. Ni kuomba sana kwa sababu hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bro
Kuachwa NI kubaya sana ""...Kuachwa kuachwa
Asante sana MkuuHeshima na kwako pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo ni siku yako mkuu,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aisee...Leo mmenikalia kooni si kidogo [emoji23][emoji23]
Duuuuh aiseeeCarba wangu