Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juzi nimekuta mdogo wangu wa kiume anapewa ushauri na dada zake bwana,
Eti umeanza kazi na kimshahara chako hicho sasa ole wako, eti mwanamke kama hujamuoa usijifanye baba yake.
Hapa kula tu, kulala kwao...nadhani ile ilikuwa ni kitchen party. Nilivyowasikia wale madogo nilijikuta nacheka sanaa!
Eti wadada wa mujini ni Mavempaya....
Aiseee,, hawa madada wako vzr, uzuri wanawake wanajuana wao kwa wao
 
Back
Top Bottom