Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mapambano yalikuwa makali nilikuwa nakatishwa tamaa, sipewi ushirikiano”. Haya ni maneno ya walioshindwa ambao hawakubali kuwa majibu ya maswali wanayojiuliza wanayo wenyewe na hakika wanapaswa pia kuyajibu wenyewe.

Wengi wanasahau kuwa adui mkubwa wa mafanikio yao ni wao wenyewe.

Yapo mambo kadhaa yanayoonyesha kuwa adui wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe ikiwamo:
 
Kuna hawa watu kwa picha hawa wapo juu
Ledada
Jakito
Iceman 3D
View attachment 792150
Cole Williams
Screenshot_20180529-072113.jpg
 
Kukata tamaa

Kukata tamaa ni mchawi mkubwa wa mafanikio ya binadamu hususan kijana anayetakiwa kuwa na vitu vipya tena na vyenye ubunifu wa hali ya juu.

Huwa mtu hakati tamaa ghafla, huanza taratibu kwa kukubali kuyumbishwa na vikwazo vidogo vidogo ambavyo kimsingi anaweza kuvitatua yeye mwenyewe bila kuhitaji msaada wa ziada.

Mtunzi wa mashairi maarufu kutoka nchini Uingereza, Clive Staples Lewis aliwahi kusema, “hujachelewa kupanga ndoto nyingine au kupanga ndoto mpya”. Kwa hiyo ukipoteza ndoto ya kwanza badala ya kukata tamaa unatakiwa ujipange upya na kuendeleza pale ulipoishia.
 
Kuwa na mipango endelevu Ili usonge mbele lazima ujipange wewe mwenyewe na ujue unataka kufanya nini na kwa muda gani.

Iwe umeajiriwa au umejiajiri kama huna mipango endelevu huwezi kufikia malengo.

Jambo la msingi ni kusoma mazingira uliyopo na utambue unatakiwa kutumia mbinu gani kukabiliana na vikwazo ili mipango yako itimie kama unavyotarajia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo umepatikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom