Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanaharakati wa mabadiliko ya kiuchumi kutoka katika Visiwa vya Trinidad and Tobago Sharda Ramlakhan aliwahi kusema, “maisha ni kama muwa, ni mgumu lakini mtamu.”

Vivyo hivyo na katika maisha yetu ya kila siku, kuna matamu na machungu.

Lakini yapo matamu yanayoambatana na machungu ama machungu yaanze matamu yaje mwisho, au matamu yaanze machungu yaje mwishoni wakati mwingine huambatana yote matamu na machungu kwa pamoja.
 
Lakini kama alivyosema Ramlakhan ambaye kimsingi ni mlemavu ana mafanikio makubwa kwa sababu alijipanga kupambana na kila hali iliyo mbele yake.

Akitumia baiskeli au kiti cha miguu minne huhamasisha watu kujitambua na kujithamini kwanza wao kabla watu wengine hawajafanya hivyo.

Hufanya hivyo siyo katika nyanja ya jamii pekee, bali hata katika nyanja ya mafanikio iwe kazini, nyumbani au shambani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui hata wachekea nini
 
Wenye kupinga kukata tamaa akiwamo mcheza kikapu mashuhuri Michael Jordan katika nukuu zake maarufu ipo isemayo “tarajia mambo makubwa wewe mwenyewe kabla hujaanza kuyafanya.”

Kumbe katika mafanikio hakuhitaji uchawi, bali kunahitaji bidii binafsi na kujitafakari wewe mwenyewe.

Kuna ngao inatumiwa na watu fulani wanaposhindwa kutimiza majukumu, malengo yao kuwa kuna watu walikuwa kikwazo.
 
Back
Top Bottom