Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180601-WA0046.jpg
 
Unapokuwa tayari umeipakua itakuletea ukurasa ambao unatakiwa ujisajili kwa jina utakalokuwa unatumia( register username) ukimaliza hapo itakuletea forums nyingi nyingi ambazo ni pendwa(favourite forums) utachagua unazotaka kama hazipo utatafuta kwenye kitufe(search) kisha. Mfn unaweza tafuta jamiiforums na kuiorodhesha katika forums zako pendwa.
Ukitumia taptalk,, inakuwa haina haja tena ya kuwa na app ya jf kwenye simu yko?i mean kuwa na app mbl yaani taptalk na jf
 
Back
Top Bottom