Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiogope kitu usichokijua

Epuka kukimbia kimvuli chako, songa mbele na amini ni wewe pekee ndiye unaweza na hakuna adui mwingine maishani mwako zaidi yako.

Ukilikubali hilo, itakuwa rahisi kukabiliana na adui huyo kwa sababu yuko ndani yako na unapaswa umtoe.

Mkimbie adui yako aliye ndani yako, usijikimbie mwenyewe. Ukijikimbia mwenyewe hautafanikiwa kwa sababu utashindwa kujiamini.
 
Ukipoteza kujiamini utaachana na kila ulichokianza, kwa sababu badala ya kujiuliza unapokosea na kutafuta suluhisho la ulichokosea, utasema siwezi na hatimaye utaacha.

Yapo mambo mengi yanayoashiria mtatuzi wa mkwamo wako ni wewe mwenyewe, tafakari. Chukua hatua sahihi kwa wakati muafaka.
 
Nafikiri hivyo sema tu anajua lugha za Kibantu kibao. Wa kishua hata lugha ya wazazi tu hawajuagi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwenye lugha kweli yuko vzr,, halafu pia anajua sehemu nying sana, anaweza kukutajia kijiji hcho tena koo ndan ndan,, sasa sjui huwa anakuwa na Atlas hapo anasoma au anafahamu kwel[emoji23][emoji23]
 
Bado hali si shwari mpenzi.... [emoji23]
Jamaniii [emoji17]pole dia nakuombea kwa Mungu uponee [emoji120][emoji9]
[emoji15]
IMG_20180529_131225.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye lugha kweli yuko vzr,, halafu pia anajua sehemu nying sana, anaweza kukutajia kijiji hcho tena koo ndan ndan,, sasa sjui huwa anakuwa na Atlas hapo anasoma au anafahamu kwel[emoji23][emoji23]
Kikoromije yumo.
Kimwakaleli yumo
Kiyego yumo
Kiwongela mmawaksi yumo
Kiodinga yumo
Kigabacholi yumo...

Vichochoro vya ndani ndani Kahama, Tabora, Mwanza, Mwakaleli, Ntuzu...anavijua. Halafu andaeitini. Bagosha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi nansio huko anapafahamu,, kuna siku kanitajia kijiji kimoja hv,, dah nlichoka aisee

Kumbe ni andaeitini tuu, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom