myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni mnaolea nyumbani
[emoji23][emoji23][emoji15] View attachment 792236
Juzi usiku saa tisa niliweka picha moja hivi (ya kawaida tu kwa maoni yangu). Basi watu wakaibuka na kusema iondoe hiyo picha utatuharibia mfungo. Nilicheka sana na nikaiondoa...[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha!
Mifungo hii inashida sana braza!
LIKES ZINAENDELEA KUTOLEWA
Aaaah,Juzi usiku saa tisa niliweka picha moja hivi (ya kawaida tu kwa maoni yangu). Basi watu wakaibuka na kusema iondoe hiyo picha utatuharibia mfungo. Nilicheka sana na nikaiondoa...[emoji16][emoji16][emoji16]