D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Kasmart. Tangu jana unahangaika. Jibu lishapatikana bro. Na Kaijage muite. Naye jana alihangaika sana [emoji16][emoji16][emoji16]Ndio ni mimi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye avatar ni ww
Ndio ni mimi.[emoji23][emoji23][emoji23]
Amejbu tayali,,,jana alikwepa hl swali [emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi naomba nitagiwe pulizi
Hahah nimeona siku hizi una mdomoooo ngoja dawa yako inachemkaNimemuona tayari
Mwaaaah!!!!Le Mtotoz is back
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Okei baiiii [emoji445][emoji91]
[emoji124]
Nimeshaona broAmejbu tayali,,,jana alikwepa hl swali [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss Ilumbu lyane!!!Kuna yale meupe makubwa aisee muziki wake si kidogo. Siku nzima na kesho yake ukikosea ukajimwagia maji baridi ngoma inaanza upyaaa...
Hahahahah kasemaje!?Bora umsalimie huyo mtu maana anamdomo sana
Hahahahahahahah!!!!! NimewamisssAma kweli shule zimefungwa,wanafunzi wameonekana leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Babe[emoji112][emoji112]
Bora umerudi maana midomo ilikuwa mingi sana. Wanataka kujua tuna mtoto gani. Na Kaka yako SYB anadai mahati mara ya tatu sasaMwaaaah!!!!