carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwema maa,mamboKwema maa?
Kwema maa,mamboKwema maa?
Ulihama lini dar?[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa mkoa tunaonewa sana
Nge hawana shida kabisa..Unaugulia maumivu kwa muda tu.Nge nshawazoea hawa. Hii sijui mara ya ngapi kung'atwa. Nawaitaga marafiki zangu. ASANTE [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Me nitajuaje sasa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mimi sijui aisee,, nmeiona tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nkuulize ww
Steroids mbaya sana. Korodani zinapotea na kaparachichi kanadumaa, uhanithi, kichwa kinakua na ubongo unaharibika - depression, extreme irritability, cardiovascular diseases na hata suicide ni jambo la kawaida tu. Wapiga mieleka wengi na body builders ndo zao hizi...Men will understand! View attachment 792580
Ndio ni mimi.[emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye avatar ni ww
Hahahaha UMEONA HIYO. mikoani wamepinda kuliko unavyojua. Mkoani Mwanza wanafunzi wanjifunza kulawitiana mapangoni, Bokaba baba mmoja amehukumiwa miaka 60 jela kwa Ulawiti.Mkoani Dodoma wanafunzi nao wanajifunza upuuzi huo. Leo TABORA. Mikoani jiangalieni sana huko. Shetani anacheza karibu nanyiWasichana 18,000 wamepata ujauzito Tabora kuanzia January hadi March 2018 .
shikamoo wanaume wa mikoani.
laiti kama wangelikuwa ni wanaume wa dar basi kichwa cha habari kingelisomeka;
wasichana 18000 wahongwa simu mkoani daresalaam kuanzia january hadi march
Me nitajuaje sasa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Tumepata jibu tayali!! Shukrani broSteroids mbaya sana. Korodani zinapotea na kaparachichi kanadumaa, uhanithi, kichwa kinakua na ubongo unaharibika - depression, extreme irritability, cardiovascular diseases na hata suicide ni jambo la kawaida tu. Wapiga mieleka wengi na body builders ndo zao hizi...
Hata unene wa kawaida una madhara yale yale japo kwa kiwango kidogo. Na yako reversible...
Hivi huyu muda wa mambo ya wakubwa si anasinzia na dole lake mdomoni.
Jamani hata weweMshafunga shule uniq?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahaha UMEONA HIYO. mikoani wamepinda kuliko unavyojua. Mkoani Mwanza wanafunzi wanjifunza kulawitiana mapangoni, Bokaba baba mmoja amehukumiwa miaka 60 jela kwa Ulawiti.Mkoani Dodoma wanafunzi nao wanajifunza upuuzi huo. Leo TABORA. Mikoani jiangalieni sana huko. Shetani anacheza karibu nanyiWasichana 18,000 wamepata ujauzito Tabora kuanzia January hadi March 2018 .
shikamoo wanaume wa mikoani.
laiti kama wangelikuwa ni wanaume wa dar basi kichwa cha habari kingelisomeka;
wasichana 18000 wahongwa simu mkoani daresalaam kuanzia january hadi march
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Steroids mbaya sana. Korodani zinapotea na kaparachichi kanadumaa, uhanithi, kichwa kinakua na ubongo unaharibika - depression, extreme irritability, cardiovascular diseases na hata suicide ni jambo la kawaida tu. Wapiga mieleka wengi na body builders ndo zao hizi...
Hata unene wa kawaida una madhara yale yale japo kwa kiwango kidogo. Na yako reversible...
Poa sana diaKwema maa,mambo
Aisee! kumbe huwa wanasinzia km huyuHivi huyu muda wa mambo ya wakubwa si anasinzia na dole lake mdomoni.
Aliyeliuliza nadhani aliwahi kulijibu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Halafu hakuna mtu anataka kujibu hili swali,waaaiii?[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani hata wewe
NdioYupi ni shemeji yangu? Naye kaoa Msukuma? Alishalipa mahari? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]