Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Emoji hii iko wapi kwenye android? Nimeitafuta kwenye mkweche wangu sijaiona...Fayaaaaaa !!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I wanted to, ila nenda tu
[emoji124][emoji125][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

I dont even know you
[emoji124]
IMG_20180412_092204.jpg
 
Muolewaji tena? Koromije huku muolewaji hata hajui kiasi cha ng'ombe kinacholetwa. Mila tofauti tofauti aisee...
Kwa hiyo muolewaji huko koromije hajui anaolewa kwa mahari ya kiasi gani?
Kwetu mahari anataja muolewaji na hayo ya lazima ndo wazee wa ukoo watakaa kujua vinagharama kiasi gani inajumlishwa kwenye mahari kama ni pesa.
 
Koromije ni opoziti. Ladba siku hizi. Nimeshakaa vikao vingi sana vya kuelewana mahari na sijawahi kusikia mwolewaji akiulizwa. Mara nyingi kwanza anakuwa hata hayupo
 
Back
Top Bottom