Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee hata sijui. BAKITA wanaweza kutusaidia. Ni uwanja mpya katika sayansi na unaleta matumaini makubwa katika nyanya nyingi hasa katika tiba, electronics, Astronomia na kwingineko. Kwa mfano, wanasema huko mbele ya safari hakutakuwa hata na haja ya kufanya operesheni bali kutakuwa na nano therapy/treatment. Viroboti vidogo dogo (nano robots) vinatumwa huko ndani mwilini vinakwenda moja kwa moja kushambulia seli zenye kansa, kukwangua plagues za lehemu (cholesterol) kwenye mishipa ya damu na mengineyo mengi. Na kwa kadri chips zinavyozidi kuwa ndogo kutakuwa na uwezekano sasa wa kuunda nano satellites (kwa mamilioni) ambazo zitaweza kufanya kazi bora zaidi kuliko haya masatellites makubwa ya sasa. The possibilities are endless bro...
A round of applause [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
With stanging ovation ofkoz

Thanks kwa kunijuza

Nikija kuwa mkuwa nataka kuwa nanoscientist
 
IMG-20180602-WA0027.jpg
 
Back
Top Bottom