D
Deleted member 485868
Guest
Iceman 3d sipendi maswali yako
Niache na diet yangu
Niache na diet yangu
Whats that?Nyegeless
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You dont even stop me?
[emoji124]
Vere turuuu[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
View attachment 792553
[emoji23][emoji23][emoji23] dah
Aisee hata sijui. BAKITA wanaweza kutusaidia. Ni uwanja mpya katika sayansi na unaleta matumaini makubwa katika nyanya nyingi hasa katika tiba, electronics, Astronomia na kwingineko. Kwa mfano, wanasema huko mbele ya safari hakutakuwa hata na haja ya kufanya operesheni bali kutakuwa na nano therapy/treatment. Viroboti vidogo dogo (nano robots) vinatumwa huko ndani mwilini vinakwenda moja kwa moja kushambulia seli zenye kansa, kukwangua plagues za lehemu (cholesterol) kwenye mishipa ya damu na mengineyo mengi. Na kwa kadri chips zinavyozidi kuwa ndogo kutakuwa na uwezekano sasa wa kuunda nano satellites (kwa mamilioni) ambazo zitaweza kufanya kazi bora zaidi kuliko haya masatellites makubwa ya sasa. The possibilities are endless bro...Nanoscienstist
Ndi anakuwa nani kwa kiswahili?
Sasa hii fayaa ki kweli kweli
[emoji91][emoji23][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa bro. Likes hizi hata kusoma kwa makini hakuna broKilikuwa kichekesho hicho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hutaki ku go?
[emoji23][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nothing!!Siponsa ulitaka kusemaje ???