Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sasa basi nyie ndio mtaniuaKwa hiyo muolewaji huko koromije hajui anaolewa kwa mahari ya kiasi gani?
Kwetu mahari anataja muolewaji na hayo ya lazima ndo wazee wa ukoo watakaa kujua vinagharama kiasi gani inajumlishwa kwenye mahari kama ni pesa.
[emoji23][emoji23]Emoji hii iko wapi kwenye android? Nimeitafuta kwenye mkweche wangu sijaiona...Fayaaaaaa !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kanasemaga ni kafupi. Hakakui [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boi Bai [emoji112]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji23]View attachment 792579
Hahahahaha!! Naongelea madudu yanayong'ata na kupuliza...Kwani madudu kazi yake ni nini? Si kung'ata na kutema sumu? Au mnaongelea madudu gani? Hata jana hapa nimeng'atwa na katoto ka nge mpaka leo mkono bado waniuma...
Me nilipaliwa tu[emoji23][emoji23]Its not that deep Carba wangu
Pole shemKwani madudu kazi yake ni nini? Si kung'ata na kutema sumu? Au mnaongelea madudu gani? Hata jana hapa nimeng'atwa na katoto ka nge mpaka leo mkono bado waniuma...
[emoji818][emoji818]Duh!Me najua mahari anataja muolewaji,ila kuna vile vya lazima vya mila na desturi ya jamii husika