Hahahahahahaha!!! Marhabaaa!!!! Fungate fungate.........ili...... Nale mhola duhu!!! Na wewe!????Kwanza shikamoo yangu ya nguvu halafu mengine yatafuata.
Kuolewa na Mpare ndo unapotea hivi bageshi? Ulimhola? Na kapwa kangu je? Wabeja [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Uchokozi tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina nilitafutalo mimi toka kwako jamani
Karibu tena bhana,nafurahi kuwaona tena[emoji7][emoji7]Hahahahahahahah!!!!! Nimewamisss
Haaah!!! Tena!???Anadai Babe S ni Uniq
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ikiiva anza kunywa wewe kwanza
Hahahahah namskia namskia....Babe S unaona huyu kaka yako alivyo??
Huwa nawadharau sana wanaume wanaodhulumu wanaukoo mahari. Uliahidi na makaratasi ukasaini now pay up damn it !!!Babe S unaona huyu kaka yako alivyo??
Asante nami nimefrahi kuwakuta mnaendeleza...Karibu tena bhana,nafurahi kuwaona tena[emoji7][emoji7]
Hata wakipunguziwa Mahari, waoaji wenyewe wanatumia mwaka mzima kukusanya michango kwa wadau ili wafanye sherehe ya kufa mtuWazazi punguzeni mahari watoto waoelewe,wapeni nafasi waolewa waseme mahari ndio wanaojua kipato cha wachumba wao,oohoooo
Hahahahah!!!!Huwa nawadharau sana wanaume wanaudhulumu wanaukoo mahari. Uliahidi na makaratasi ukasaini now pay up damn it !!!
Kweli tupuMahari ikiwa nyingi sioi
Dadek
Bageshi. Wewe ndo unipe mimi shikamoo. Unaniitikia tena? Jizazi. Kapare haka kamekufanya nini lakini bageshi? Nunene nalimhola bageshiHahahahahahaha!!! Marhabaaa!!!! Fungate fungate.........ili...... Nale mhola duhu!!! Na wewe!????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa nawadharau sana wanaume wanaudhulumu wanaukoo mahari. Uliahidi na makaratasi ukasaini now pay up damn it !!!
Mkinipangia milion moja na nusu nalipa laki 5 million moja mtanidai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mahari huwa haimalizwi,lazima udaiwe