Khaaaahahahahaaaaaa na ikitokezea mwanamke wenyewe ni chotara basi hata sherehe za ndoa zitakapomaliza mtaji wote ushautumia.
- maulid
- taarab asilia live
- uradi
- chai
- sherehe ya harusi
Ah kwa style hiyo hahah!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna namna
Karibu sana mgeniwa sasa
mwenyeji wa zamani
Dogo pole pole........Mkinipangia milion moja na nusu nalipa laki 5 million moja mtanidai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dogo pole pole........
Hahahaha sema mkweli mkuu,likes pekeake au kuna kingine!!?Nimetoa likes hadi nimehisi kiu
Duuu hahahahaKiafrika afrika unapanga ukoo mzima ila muolewaji lazima akuchumekee kidogo kwamba jamaa yangu hayuko njema mumpangie kwa hikma kidogo
HahahaaAh kwa style hiyo hahah!!!
Asante sana!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuu hahahaha