Mkinipangia milion moja na nusu nalipa laki 5 million moja mtanidai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mahari huwa haimalizwi,lazima udaiwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]That's when I come in...
Naanzisha law practice maalum tu kwa kushughulika na ishu za mahari. Andjul na Uniq kaeni mkao wa kula [emoji16][emoji16][emoji16]
Sina la kusema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 792615
Hahahahahahahah!!!!!! Acha tu niitikie maana.... Hahaha!!! Mpare huyu, muulize siri!Bageshi. Wewe ndo unipe mimi shikamoo. Unaniitikia tena? Jizazi. Kapare haka kamekufanya nini lakini bageshi? Nunene nalimhola bageshi
Hahahaha!Mkinipangia milion moja na nusu nalipa laki 5 million moja mtanidai
Zanzibar ni noma, mahari huko ni lazima ulipe bed 6x6, dressing table, sofa, deep freezer, kabati la nguo na vyombo, seti za vyombo, TV 40'. Huko malizaneni wenyewedah
laki 8 basi mahari ni rahisi sana huko dar ukilinganisha na zanzibar.
aigooooo laki 8 ni ndoa ya kukamatiwa.
hahahahaaaaaa na ikitokezea mwanamke wenyewe ni chotara basi hata sherehe za ndoa zitakapomaliza mtaji wote ushautumia.Zanzibar ni noma, mahari huko ni lazima ulipe bed 6x6, dressing table, sofa, deep freezer, kabati la nguo na vyombo, seti za vyombo, TV 40'. Huko malizaneni wenyewe
Kweli kabisa mkuu, siwezi kujua kwasababu sijawahi kuumwa huo ugonjwa anaotibu!Naye aweza kuwa dawa Kali sana sana mkuu, huwezi jua
Nooo nat meHata wakipunguziwa Mahari, waoaji wenyewe wanatumia mwaka mzima kukusanya michango kwa wadau ili wafanye sherehe ya kufa mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha!