Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu mafuta ya taa kwa chakura kwani nyie ni vibatari.?
 
Nahitaji msaada wa kisaikolojia.

Ina happen often. Kila napopewa taarifa kuhusu jambo fulani Akili yangu moja kwa moja inanipeleka kwenye maafa even it's wrong.

Mfn. Napewa habari " unamjua mama aloyce yule muuza maziwa?" Kabla sijajibu ndio au hapana wazo lakuwa amekufa linanijia. "Yule mama leo jana usiku alijifungua mtoto wa kiume" naposikia hivyo nanyong'onyea sana na feel guilty kwamba kwanini niwaze mawazo mabaya tu.

Psychologically issues.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…