Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unajifunza ujuzi mpya?


Wakati mwingine unaweza kukata tamaa kwa sababu wenzako wanabadilisha kazi mara kwa mara na wewe umeendelea na kazi hiyo hiyo kwa muda mrefu. Je,hiyo inaweza kuwa na maana ya udumavu kazini?

Albert William Okal ana mawazo tofauti: “Aina ya majukumu unayofanya sambamba na nafasi unayopata ya kujifunza na kukuandaa kwa majukumu makubwa zaidi inaweza kuwa sehemu ya kukua kazini. Mwalimu, kwa mfano, anaweza kuendelea kuwa mwalimu lakini majukumu yake yakawa yanabadilika kadri anavyojifunza ujuzi mpya. Kutoka kuwa mwalimu asiye na majukumu, anaweza kuwa Mkuu wa Shule, Mkaguzi wa Shule au Afisa Elimu. Huyu huwezi kusema amedumaa kikazi.”
 
Lakini pili, ni muhimu ufanyaji kazi nao uboreshwe. Unaweza kufanya kazi hiyo hiyo lakini ukajifunza ujuzi mpya wa namna ya kutekeleza majukumu yako. Hapo huwezi kusema kazi yako imekudumaza. Mfano mfanyakazi aliyekuwa anasambaza mizigo kwa mguu, anapofikia hatua sasa anatumia baiskeli au pikipiki kufanya majukumu yale yale, hiyo pia ni ishara ya ukuaji. Kigezo cha tatu, kwa maoni yangu ni tija ya kipato. Kazi inayokukuza lazima iende sambamba na ongezeko la kipato.”
 
Titanoboa ndio aina ya nyoka mkubwa zaidi kuwahi kuishi kwenye historia hapa duniani. Alikuwa anapatikana kwenye msitu wa Amazon, kwa sasa kizazi chake hakipo tena kwani wanasayansi ya wanyama wamesema aliwahi kuishi miaka milioni 58 iliyopita. Nyoka huyo alikuwa ana uwezo wa kumeza hata mamba mkubwa, na inaaminika ndio asili ya kizazi cha nyoka aina ya Boa constrictor, Python na Green Anaconda. Mwaka 2009 wakati mainjinia wakifanya shughuli ya ujenzi nchini Colombia, waligundua masalia ambayo yalikuja kugundulika ni masalia ya nyoka aina ya Titanoboa. Nyoka huyo na kizazi chake licha ya kuwa ndio nyoka mkubwa zaidi, hana sumu ya kuweza kumuua binadamu, kitu pekee ambacho ni silaha yake ni nguvu zake ambazo huzitumia kuvunjavunja adui yake na kummeza.
 
Ili kufanikisha hayo, fanya yafuatayo:-
1. Acha matumizi/manunuzi yasiyo ya lazima, mf. kunywa soda/bia nyingi kwa siku, kutoa ofa zisizo
na msingi, kununua chai kwenye mighahawa wakati unaweza kupata ofisini/au nyumbani, kula ovyo barabarani (pipi, karanga, ..) hata
kama huna njaa.
 
2. Fanya tahmini juu ya bei nafuu na upatikanaji wa bidhaa bora. Andaa orodha ya vitu unavyotaka kununua kabla hujaenda sokoni/dukani/ na kujikita katika orodha yako tuu.
Usinunue usichopanga. Pia tunza kumbukumbu za manunuzi ya wiki, mwezi,.. na ipitie orodha yako kabla ya kufanya manunuzi/kuanza wakati unaofuata. Hii itakuwezesha kufanya tahmini wakati wa kutaka kuondoa baadhi ya vitu, kwakuwa havikuwa vya lazima.
 
3. Punguza matumizi ya umeme/maji. Mf. kutokuacha redio/tv inawaka siku nzima, laptop kwenye charge wakati hautumii, kutengeneza bomba za maji zinazovuja, kuoga kwa kutumia shower, sambamba na kuoga haraka si lazima utumia dk 30 bafuni.
 
Titanoboa ndio aina ya nyoka mkubwa zaidi kuwahi kuishi kwenye historia hapa duniani. Alikuwa anapatikana kwenye msitu wa Amazon, kwa sasa kizazi chake hakipo tena kwani wanasayansi ya wanyama wamesema aliwahi kuishi miaka milioni 58 iliyopita. Nyoka huyo alikuwa ana uwezo wa kumeza hata mamba mkubwa, na inaaminika ndio asili ya kizazi cha nyoka aina ya Boa constrictor, Python na Green Anaconda. Mwaka 2009 wakati mainjinia wakifanya shughuli ya ujenzi nchini Colombia, waligundua masalia ambayo yalikuja kugundulika ni masalia ya nyoka aina ya Titanoboa. Nyoka huyo na kizazi chake licha ya kuwa ndio nyoka mkubwa zaidi, hana sumu ya kuweza kumuua binadamu, kitu pekee ambacho ni silaha yake ni nguvu zake ambazo huzitumia kuvunjavunja adui yake na kummeza.
Aisee..
 
Back
Top Bottom