Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pacha wa kipekee wa Tanzania walioungana, Maria na Consolata Mwakikuti wamefariki dunia usiku wa leo (Jumamosi, June 2) katika hospitali ya mkoa ya Iringa.
Taarifa zilizoifikia Mwananchi Digital na kuthibitishwa na mkuu wa wilaya wa Iringa Richard Kasesela, zimebainisha kuwa mapacha hao wamefariki wakipishana kwa takribani saa 2.
"Wamepigania sana afya zao, mida ya saa moja hivi jioni ndio nimepokea taarifa za kifo chao na kwa sababu nilikuwa mazingira ya hospitali basi nilisogea kuwaona – na ni kweli hatunao,” amesema Kasesela.