[emoji818][emoji818][emoji818]9. Jiunge kwenye bima mbalimbali. Mf. Bima za afya, maisha, nyumba, gari, zenye manufaa kwako, na fanya uchunguzi kabla ya yote, bila kusahau mifuko ya akiba (pensheni).
Unafaa kuwa mke kama ni KE17. Saidia wahitaji. Kujigharamia peke si sehemu ya maadaili katika jamii yoyote ile! Jitahidi kutoa msaada kwa watu wanohitaji kwa dhati msaada kutoka kwako. Mfano, kuwasaidia yatima, wagonjwa wasio na msaada, kutembelea wazee. Kufanya hivyo kutafupa faraja ya kweli, na watakuombea upate baraka zaidi. Jitahidi usiwape msaada watu wanaokwepa kujituma/kutofanya kazi. Hii
inawadumaza, na kuwafanya kuwa tegemezi wa kudumu.