myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Anapotea kama pesa....Where is Nsamaka??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aya bhna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ndio.
Mie niko byee shunie, umeamkaje??Pyaar za wewe
Twamshukuru aliye juu, twaendelea kulisongesha kurudumu la likes.Wazima humu jamani nimekuja kuwasalimia tu
Itabidi nimtafute maana ndie shemeji yangu asie na shida huyo Shimba ya Buyenze hafai kama mpare vileAnapotea kama pesa....
Usiache kuja kila wakati ShunieSina habari yoyote mie jamani nimekuja tu kuwasalimia siku nyingi sana sijaja huku
Safi pia shunie,Mungu ni mwema!
Mie niko byee shunie, umeamkaje??
Kwema. Nimejaribu kuzoom avatar yako, majibu ninayo moyoniKwema mkuu?
Sijui niseme Hatupoi [emoji16][emoji16]Twamshukuru aliye juu, twaendelea kulisongesha kurudumu la likes.
Atakuja...huenda anachungulia hapaItabidi nimtafute maana ndie shemeji yangu asie na shida huyo Shimba ya Buyenze hafai kama mpare vile
Yaani kipindi nasoma nilikuwa nawashangaa sana hawa viumbe waliokuwa wakiruhusu wenzao tule chakula chenye mafuta ya taa...Cha kushangaza sikuwa nikiona +ve impacts..Hahaha! Sasa kufanya hivyo wanadhan wanaondoa tatizo matharani wanaleta tatizo jingine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema. Nimejaribu kuzoom avatar yako, majibu ninayo moyoni
Sawa Bill nitakuwa nakuja kumbe na wewe huku ndio maskani kwakoUsiache kuja kila wakati Shunie