Side effects pengine usizione mapema hivyo.Yaani kipindi nasoma nilikuwa nawashangaa sana hawa viumbe waliokuwa wakiruhusu wenzao tule chakula chenye mafuta ya taa...Cha kushangaza sikuwa nikiona +ve impacts..
Tupo wengi. Hii hali hata ukisema uende kwa washaur nasaha utazid kujichanganya tu wana ngonjera nyiiiingiiiNahitaji msaada wa kisaikolojia.
Ina happen often. Kila napopewa taarifa kuhusu jambo fulani Akili yangu moja kwa moja inanipeleka kwenye maafa even it's wrong.
Mfn. Napewa habari " unamjua mama aloyce yule muuza maziwa?" Kabla sijajibu ndio au hapana wazo lakuwa amekufa linanijia. "Yule mama leo jana usiku alijifungua mtoto wa kiume" naposikia hivyo nanyong'onyea sana na feel guilty kwamba kwanini niwaze mawazo mabaya tu.
Psychologically issues.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], HATUPOISijui niseme Hatupoi [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], habari za j'pili.Kwema. Nimejaribu kuzoom avatar yako, majibu ninayo moyoni
Nafurahi pia leo umekuja nyanja hizi kusambaza upendo.Nipo poa mamy nafurahi kukuona
Yesss,mzima?Numbii
Zipungue wapi sasa,, likizo watu walikuwa wanarudi home na lita za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], vipi zilikuwa zapungua kweli??