Unaachwa na mpenzi wako kisa huna pesa, badala ya kutafuta pesa unatafuta mpenzi mwingine, ukiambiwa una pepo unakataa...
I love LoveLove is God and God is Love
Daaah, leo sijaenda mkuu,Mishe taratibu sana. Ibada imehusika sana leo
Haswaaaaaaaa!Nimekuja mamy si unajua upendo tumeumbiwa binadamu
Mkono wa kushoto usiushuhudie mkono wa utoao.Sadaka yako iwe siri yako na Mungu wako ataibariki
Twakuomba ubaki baki hapa angalau kwa masaa 72, tuna hamu ya kukumwagia likes za kishindoAsante sana moud tupo pamoja
Twakuomba ubaki baki hapa angalau kwa masaa 72, tuna hamu ya kukumwagia likes za kishindo
Ni pepo la ngono.Unaachwa na mpenzi wako kisa huna pesa, badala ya kutafuta pesa unatafuta mpenzi mwingine, ukiambiwa una pepo unakataa...
Kivipi mkuuMoudgulf umenirudisha online.
Ni njema pia maana ya kaisali mpe kaisali.Daaah, leo sijaenda mkuu,
Nimemkia kwenye majukumu mengine hivi.
Notifications za likes [emoji3]Kivipi mkuu
Mkuu nimejisikia vibaya sana kutokwenda,Ni njema pia maana ya kaisali mpe kaisali.
Kwani nyie huwa mwatolea nini??Hivi ile zipu ya mbele kwenye suruali za wadada , huwa ni ya kutolea nini?