Hahaha! Japo watakuona mafia ila umewasaidia pakubwa. Mazingira ya kumjua Mungu yana raha zake.Nikiwaacha watakuwa wajinga,
Hizo Nickelodeon na Disney XD hazikumbii, MUNGU kwanza!
Swali gumu sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Hatari kabisa...Kwani ulikuwa watambua kama unazo ama hauna?
Mzima kabisa,za jpili?
Kwakweli ni Inspiration Song na inavuta hisia kali.Yaani unazama kiroho + hisia kali katika kuabudu..Kukiwa na utulivu wa hali ya juu unaona mbingu yafunguka kabisa...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mungu tusaidie.