He is old he should goHahahaha
PoaAm serious man
Okey nimekuelewaYeah it says post chochote not quote chochote,that too empty one,boring
Always najiquote mwenyewe sababu hailet notifications
Acha hizo bado kijana kabisaHe is old he should go
Nimejikuta nacheka maana nimmemmiss BAK ghafla akipost picha zake za ajabu ukimwambia anajibu haon kosa aiseeeOkey nimekuelewa
I wont do it
Kwa kuwa tu ina kukera not because am wrong sioni kama kuna kosa hapo
Ni kweli hakuna kosaNimejikuta nacheka maana nimmemmiss BAK ghafla akipost picha zake za ajabu ukimwambia anajibu haon kosa aiseee
Kwema maa,mamboMmmmmhh!!! Mapenzi jeneza kwakweli
Kwema?
Mwanaume unashindwa kumaliza nanasi zima moja??? aisee!!!
Wasukuma haoWanaume wa dar ama??
Wasukuma hao
Eeh hawamalizi nanasNdo hawamalizi nanasi zima??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waache mashemeji zangu bhana
Comrade, kuna kitu umemaanisha au ni hivyo hivyo tu.? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume unashindwa kumaliza nanasi zima moja??? aisee!!!
Eeh hawamalizi nanas
Umeolewa na msukuma?
Wanaume wa dar wanalo hahahahahahaWanaume wa dar ama??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Comrade, kuna kitu umemaanisha au ni hivyo hivyo tu.? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa shemeji zako wa wap?Hapana