[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuliza boli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Carba alikuwa anataka kunivurugaMbona mnaongelea sana makabila? Mnataka kutambika?
Hivi kwa nn Carba ana nifanyua hivi eti Kitoo!!View attachment 793314
Hakuna fomyula bro...Kweli kabsa,,
Kwahyo bora uwe na mhenga si ndio? si mbaya akikuzd 2yrs [emoji23] hivi
Naikumbuka bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] full kugombaniaUnakumbuka sandakarawe bro?
"Sandakarawe...
Mwenye kupata...
Mwenye kukosa..." [emoji16][emoji16][emoji16]
Chukua papai hilo wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 793318
Yaan najikutaga tuu simkubali
You should at least talk to her dont just sit
Umeandika point sana bro kwa ujumla wakeHakuna fomyula bro...
Ni kubahatisha tu...
Kuna wahenga utatamani hata uwe na andaeitini ili angalau kieleweke...
Haya mambo ni magumu...
Mweeeh! Uchokozi[emoji23]Chukua papai hilo wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 793324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuta kumbe mhenga aliruka stage,ww unadhan kakuwa kumbe ndo kwanza anataka afaidi ujanaHakuna fomyula bro...
Ni kubahatisha tu...
Kuna wahenga utatamani hata uwe na andaeitini ili angalau kieleweke...
Haya mambo ni magumu...
Hata usimuwazie huyoSijui wamemfanyeje masikini. Mitandaoni humu ni sandakarawe haki ya nani...