myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:30
Umejuaje kuwa hajiheshimu. Unamfahamu? Kujiheshimu maana yake nini katika muktadha huu?Hata usimuwazie huyo
Usipo jiheshim utapata watu wasokuheshim pia
Hakuna cha kuongea nae bro, akikusumbua sana niambie nikupe formulaYou should at least talk to her dont just sitView attachment 793322
Ni bora upate alo kuzidHakuna fomyula bro...
Ni kubahatisha tu...
Kuna wahenga utatamani hata uwe na andaeitini ili angalau kieleweke...
Haya mambo ni magumu...
Bonge la nyimbo ilo.This is America - Childish gambino[emoji173]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna cha kuongea nae bro, akikusumbua sana niambie nikupe formula View attachment 793336
Angakia vitu usually anavo viandikaUmejuaje kuwa hajiheshimu. Unamfahamu? Kujiheshimu maana yake nini katika muktadha huu?
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Angakia vitu usually anavo viandika
Ndio huwa vina attract watu anao wapata
Hatuna namna nyingine ya kumjaji