Huyu ndio wewe?
Poleni, maana mnaumiza vichwa kwa mambo magumu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuta kumbe mhenga aliruka stage,ww unadhan kakuwa kumbe ndo kwanza anataka afaidi ujana
Haya mambo hatari tupu
Haya upumzike sasaPoleni, maana mnaumiza vichwa kwa mambo magumu.