Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anasema biashara hiyo anaifanya na mjomba wake ambaye pia yupo jijini Dar es Salaam. Anadai kuwa mjomba wake alimchukua mlemavu ambaye walishindwa kuelewana kwa kuwa ni msumbufu na mwenye kutaka wagawane fedha kila wakati, kitu ambacho hakupenda.

Biashara hii imesambaa hadi nchini Kenya

Mradi huo wa kutumia walemavu kujinufaisha, si tu unahusisha mikoa ya Dar es Salaam na Shinyanga, bali umetapakaa sehemu kubwa ya Afrika Mashabiki.

Ripoti ya vituo vya televisheni vya Citizen TV na KTN TV zinaonyesha ni kiasi gani biashara hiyo ilivyoshamiri nchini Kenya.
 
d2d5e320-9057-4f91-af20-c4223274fb17.jpg
 
Leo imekuwa ni asubuhi njema kwa abiria wa mabasi yaendayo haraka (Udart), baada ya kupanda usafiri huo bure.

Abiria wa mabasi hayo, wamejikuta wakipanda bure kutokana na kudaiwa kuwepo kwa hitilafu katika mfumo wa tiketi.

Madirisha ya vyumba vinavyotumika kukatia tiketi yalikuwa yamefungwa huku mabasi yakiendelea kubeba abiria kama kawaida.

Abiria wengi walionekana kufurahia kusafiri bure, hata hivyo baadhi ya wanaotumia kadi wamejikuta wakilipia usafiri huo kwa kuwa wanatumia mashine maalum za kugonga.
 
Kumbe ni bure, sikujua inaniuma kama nikadai vile,"amesema abiria mmoja baada ya kugonga kadi yake.

Alipoulizwa kuhusu hali hiyo, ofisa mawasiliano wa Udart, Deus Buganywa amesema atatoa taarifa kwa vyombo vya habari baadaye.

Abiria mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Daudi Joshua amesema kupanda usafiri bure kumemfurahisha kwa kuwa anaona ni fidia ya usumbufu wa kusubiri magari hayo kwa muda mrefu
 
Huduma ya usafiri huu haitabiriki, tumekuwa tukipata usumbufu mkubwa, sasa leo sijui wanatoa ofa kusafisha makosa yao," amesema Joshua, mkazi wa Luguruni Mbezi.

Mwananchi ilishuhudia wafanyakazi wa Udart wakiwa wamesimama vikundi wakijadiliana.

Tangu jana asubuhi, huduma za usafiri huo ziliendelea bila wananchi kukata tiketi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JASIRI HAACHI ASILI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TUNADUMISHA.
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tunakiwakisha.
 
Huduma ya usafiri huu haitabiriki, tumekuwa tukipata usumbufu mkubwa, sasa leo sijui wanatoa ofa kusafisha makosa yao," amesema Joshua, mkazi wa Luguruni Mbezi.

Mwananchi ilishuhudia wafanyakazi wa Udart wakiwa wamesimama vikundi wakijadiliana.

Tangu jana asubuhi, huduma za usafiri huo ziliendelea bila wananchi kukata tiketi.
Kwa hiyo watu wapanda buree?
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TUNADUMISHA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ANIMEKUSHINDWA
 
Back
Top Bottom