[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa mi sina celebrity wa kuniweka juuu
Uwii! Umetufuma...Jamani shikamooni
Mbona hukunipa taarifa asee?
CHACHAWA kitakufa rasmi. Halafu yule alivyo mwoga anaweza akahama JF mazima [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha mnanipa mzuka,sijui nikamzindue poti nae awe maarufu hahahahah
Hapo
sauwa hawa wakuu walishaanza maneno yao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama unavyozingatiaga za CR7[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimewafuma ndio anaumwa kweli mmuombee nitafikisha salamuUwii! Umetufuma...
Kwema Shunie?
Tunasikia tu anaumwa. Ni kweli? Fikisha pole zetu !!!
Pole sana. Is it serious au ni homa tu ya kawaida. Mungu Amponye [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Anaumwa kweli maombi yenu yanahitajika mamy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo
sauwa hawa wakuu walishaanza maneno yao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh!!! Kuna usawa kweli?Kuna wakati utamu unazidi mpaka unajiuliza "whati izi goingi oni?" [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 793965
Unapata changamoto eeeh!?Nimekoma shunie mm jamani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] sizindui tena pale ndio mwanzo na mwisho
Asante. Mungu Atamponya. [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimewafuma ndio anumwa kweli mmuombee nitafikisha salamu