Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Paka mwenye sura mbili

Naamini utaona kama ni ajabu kusikia kuna paka mwenye sura mbili, lakini hii sio ajabu tena paka wa waina hii wapo..ila leo tujadili Frank na Louie …ambapo hayo majina ni kutokana na uso wake lakini ana mwili mmoja. Paka huyu alikuwa na sura mbili, midomo miwili, pua mbili na macho matatu.
Paka huyu aliishi miaka 15 na alikufa siku ya alhamisi 4 mwezi wa kumi na mbili 2014 kutokana na maradhi yanayoaminika kuwa ni kansa.
 
Kuna wakati utamu unazidi mpaka unajiuliza "whati izi goingi oni?" [emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20170916-WA0005.jpg
 
Nimekoma shunie mm jamani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] sizindui tena pale ndio mwanzo na mwisho
Siku hizi siyo mwenzetu bro. Uzinduzi ule haukuwa wa dunia hii. Fanya mpango na wewe uzinduliwe bro [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
My God!!
 
Back
Top Bottom