Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku hizi baby akikwambia anakuja unafanya usafi wa aina mbili.
Usafi wa nyumba na usafi wa simu (delete everything).
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntarudi wacha nipumzike kidogo
C U [emoji112]View attachment 793923
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I will be waiting
IMG_20180529_131236.jpg
 
Khaaaaa!
Muwache mu handsome wa watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona ipo mingine mizuri [emoji23](not sure thou)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo naye hendsome!!! Bas mim sjui ntakuwa nan yaan.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawez rudia mziki mzuri huyo
 
Nimezaliwa miaka kadhaa iliyopita, na nimejitahidi kila leo kuishi maisha yanayoipendeza nafsi yangu. Huku nikijalibu pia kuifurahisha jamii inayonizunguka, huku nikijukuta nasumbuliwa na neno “hivi watanionaje” na hili likawa tanzi katika miguu ya ndani yangu, hali iliyopelekea pia miguu yangu ya nje kutopiga hatua kabisa. Wakati mwengine naona na kuhisi msukumo mkubwa ili kuchukua hatua huku kukiwa na hisia kuwa nikifanya hili nitafanikiwa na ile sauti ambayo kila mtu naamini huwa anaisikia ikiniambia “fanya jambo hili utafanikiwa, mbona rasilimali zote unazo” lakini kuna sauti nyingine inaniambia “ ukifanya usifanikiwe watakucheka sana” na baada ya hapo natulia sifanyi jambo hilo.
 
Hali hii naamini kila mtu huwa anaipitia…na imekuwa changamoto kwa kila binadamu .
Lakini kuna jambo leo napenda nikushirikishe pasipo kujali imani yoyote uliyonayo.
Binadamu ametengenezwa katika pande mbili, upande dhaifu na upande wenye nguvu. Na mwenye mamlaka juu ya upande gani uchukue ushindi ni binadamu huyuhuyu, ila kwa kujua ama kutokujua amekuwa akitoa nafasi zaidi kwa upande ule uliodhaifu wakati ukweli ni kwamba upande huu uliodhaifu hauna uwezo juu ya ule wenye nguvu.
 
Fikiri na mimi, mfano mtu najua kuwa kuvuta sigara ni hatari kwa afya yake ni hatari lakini bado anavuta, ukiongea nae atakwambia najitahidi kuacha lakini siwezi.
Au mtu anajua kufanya ngono ni hatari kwa maisha yake lakini anashindwa kuizuia tamaa yake na kujikuta katika matatizo makubwa.
Tambua kuwa mwenye dhamana ya maisha yako ni wewe mwenyewe, na ukijiamini na kusimamia haki hata jamii yako nayo unayoihofu siku zote itkuheshimu pasipo wewe kutumia nguvu nyingi kuwaonyesha kuwa unastahili kuheshimika.
Uwezo huu wa kuamua kuwa mshindi upo ndani yako, na ukiamua kuutumia vema utakuwa mshindi kila leo na katika nyanja zote uzijuazo. Lakini ni hadi uamue kuwa na msimamo kwako mwenyewe, yaani sio kuwa na uwezo wa kuwazuia wengine wasifanye huku wewe uwezo huo hauna wa kujizuia.
 
Back
Top Bottom