Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,266
Mm nilisepa na uzi nikautelekeza badae yupo kwenye thread ananisumbua nirudi watu wananiulizia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh! Kweli kila kumbukumbu unayo.
Sasa vile jamaa haji ndio nikawa napanic zaid kwa ajili yako na kwa ajili ya Sakayo
Pale sasa kijana alitaka anletee mshtuko wa moyo.