Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mm nilisepa na uzi nikautelekeza badae yupo kwenye thread ananisumbua nirudi watu wananiulizia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh! Kweli kila kumbukumbu unayo.
Sasa vile jamaa haji ndio nikawa napanic zaid kwa ajili yako na kwa ajili ya Sakayo
Pale sasa kijana alitaka anletee mshtuko wa moyo.
 
[emoji91][emoji91]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu na uzi nimeufunga mana kila siku watu wanakuja kwenye thread jamani wanashangaa shunie mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile story inatakiwa tuandikie kitabu Shunie
Tutauza kopi nying sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndiyo. Watu wakasubiriiiii weee ndo baadaye akakuzindua [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe sikutegemea nilicheka sana nikikumbuka tulivyokuws tunamsumbua atutajie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…