carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hamna si photoshop,sehemu ninayoishi kuna nyumba nyingi za hivyo na wameweka umeme.Mwambie apotezee. Ngoja nichimbe mkwara kama wa jamaa mmoja humu...
"Nina haki ya kuandika cho chote na kuposti picha yo yote humu. Mods peke yao ndo wana uwezo wa kunizuia...Kama mnakereka shauri yenu kwa sababu haki yangu ni muhimu zaidi kuliko yenu..." [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nadhani hii ni Photoshop
Khaa!huo mkwara sasa ndo unanichimba mimi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]