capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Remove em Outta your brain and love both.
Kuna watu humu humu wamenuniana hivi hivi. Watu hatujuani,tumekwazana,ugumu unatoka wapi kuyamaliza kwa kusameheana? Tena makwazo ya maandishi kwa jina la bandia?
Na watu wake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Udumu huu uzi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Msamaha una nguvu........Kuna watu humu humu wamenuniana hivi hivi. Watu hatujuani,tumekwazana,ugumu unatoka wapi kuyamaliza kwa kusameheana? Tena makwazo ya maandishi kwa jina la bandia?
Umekuja na busara. Ngoja tuone muda utakaokuchukua kabla hazijayeyuka. Kwema shemeji?Kuna watu humu humu wamenuniana hivi hivi. Watu hatujuani,tumekwazana,ugumu unatoka wapi kuyamaliza kwa kusameheana? Tena makwazo ya maandishi kwa jina la bandia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umekuja na busara. Ngoja tuone muda utakaokuchukua kabla hazijayeyuka. Kwema shemeji?
Hakika, Mungu atupe akili ya kujitambua.Msamaha una nguvu........