Nashukuru Mungu naendelea nao vyema.Safi kabisa mama. Habari ya mfungo?
Masikini mamio walahi!niwaombe radhi wanadada wote kwa hii nukuu
Mwanamke ni kama mavi ya kuku anabadilika leo mweupe kesho mweusi- song of lawino and ocolo.
Nikija kuwa mkubwa ntachora tattooMwili unachorwa tattoo kama ukuta wa shule ya msingi khaaa!!
Umepika nn leo?Kwende tukale[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]