Hahahaha
Mbavu zangu jamani uwiii!
Mpaka toothpick tuna tumia aseeHahahaha
Wapi??Nikija kuwa mkubwa ntachora tattoo
HahahahaUsiku wa uji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
haki ya Mola wangu
Uwiiiii... View attachment 794178
Mungu aendelee kukuimarisha kiimani.Nashukuru Mungu naendelea nao vyema.
Habari ya wapi?kwa makonda ama kule ulikoamua kuhamia bila taarifa??
Omenaa na ugaliUmepika nn leo?
HahahahaMpaka toothpick tuna tumia asee
Amin shem[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu aendelee kukuimarisha kiimani.
Nipo huku tangu jana.
Kwenye paja[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi??
Omenaa ndio kinini?Omenaa na ugali
Pamba ni za nye wenzetu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Masikini sikio walahi
Uniite nije kuona ulivyochora[emoji125][emoji125][emoji125]Kwenye paja[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hujui omenaa??Omenaa ndio kinini?
HahahahaPamba ni za nye wenzetu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utakuwa unaona kila siku usjaliUniite nije kuona ulivyochora[emoji125][emoji125][emoji125]
Hakika ni wazima. Ahsante sanaAmin shem[emoji120][emoji120][emoji120]
Karibu,wazima wote?
Kwa hiyo wewe hutaki nijibu unanikumia kwa lesista?Hujui omenaa??
Muulize ledada atakwambia