Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji Harry Kane ametwaja ndiye mchezaji ghali zaidi duniani akifuatiwa na Neymar na watatu ni Kylian Mbappe.

Mshambuliaji huyo wa Tottenham na England anathamani ya pauni176milioni, kwa mujibu wa CIES Football Observatory algorithm.

Nyota wa Paris Saint-German, Neymar na Kylian Mbappe wanathamani ya pauni171m na pauni163m.
 
t-one-day-my-wifes-credit-car.jpg
 
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo yupo nafasi ya 24, akiwa na thamani ya pauni 91m akiwa ni mchezaji kubwa na miaka 33 kuingia katika orodha ya wachezaji 100, ghali wanaocheza katika Ligi Kuu England, Serie A, La Liga, Ligue 1 na Bundesliga.
 
Back
Top Bottom