Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Halafu ikawaje? Mkaachana ama?My God
I lived this kinda life
It sucks
Unanicheka??[emoji17][emoji17][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wat!!!
Ndiyo shem,9 kasoro hiiNi muda kweli wa daku umekaribia. Saa 9 eeh!?
Niwe mkweli kwamba niliachwa [emoji28]Halafu ikawaje? Mkaachana ama?
Aisee. Saa moja kasoro usiku. Leo nina tamaa ya kande duh! Ngoja niangalie utaratibu [emoji16][emoji16][emoji16]Ndiyo shem,9 kasoro hii
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Unanicheka??[emoji17][emoji17]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mosquitoes kweli wanapenda tuvimbaumbau? Tuna damu ya kutosha? Tunaumika kirahisi? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole kwa kuachwa.Niwe mkweli kwamba niliachwa [emoji28]
Yaan i lived in pain kwenye relationship nzima(tho i knew sipendwi sikuwa naweza kuondoka, sjui nilirogwa!![emoji17] ) and when she felt i am of no use to her she left. And it was more painful.
Ila when i look back huwa najicheka kwa kuvumilia upuuzi na najishangaa how was i calling my self a man if was so weak.
Mapenzi yako hivyo. Ukiwemo unakuwa umefumwa kwenye kunguku huoni wala husikii. Ukitoka yaani mpaka unajishangaa. Na umekuwa umejifunza mengi. Pole na hongera !!!Niwe mkweli kwamba niliachwa [emoji28]
Yaan i lived in pain kwenye relationship nzima(tho i knew sipendwi sikuwa naweza kuondoka, sjui nilirogwa!![emoji17] ) and when she felt i am of no use to her she left. And it was more painful.
Ila when i look back huwa najicheka kwa kuvumilia upuuzi na najishangaa how was i calling my self a man if was so weak.
Unataka kupika kande saizi??Aisee. Saa moja kasoro usiku. Leo nina tamaa ya kande duh! Ngoja niangalie utaratibu [emoji16][emoji16][emoji16]
Twende tukatafute chips basi[emoji6][emoji6][emoji6][emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Unaninyima daku tuu hapo
Na mimi nna kijitabia cha kupenda na miguu yote yaan huwa naingia na viatu kabisa kabisa sasa yule alijua kunitumia kweli kweli[emoji17] .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole kwa kuachwa.
Ila hukurogwa wala nini,ulipenda hilo tu.
Muone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukorofi tuMosquitoes kweli wanapenda tuvimbaumbau? Tuna damu ya kutosha? Tunaumika kirahisi? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Ndiyo. Nataka nikanunue mahindi mabichi na maharagwe mabichi nije nichemshe. How hard can it be? Lisaa limoja kande zimeiva. Nitawaita mje na Ice. Anapenda kande balaa [emoji16][emoji16][emoji16]Unataka kupika kande saizi??
Anyway ukipata hako ka utaratibu nijulishe nije kukusaidia kula hizo kande[emoji2][emoji2]