Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mapenzi yako hivyo. Ukiwemo unakuwa umefumwa kwenye kunguku huoni wala husikii. Ukitoka yaani mpaka unajishangaa. Na umekuwa umejifunza mengi. Pole na hongera !!!
Yale hayakuwa mapenzi
Modern day slavery ile