Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1.Urafiki sio kuwa na mtu ambae umemjua muda mrefu. Ni kuhusiana na nani amekuja maishani mwako , na kusema” nipo hapa kwa ajili yako” na vitendo vyake vinajionyesha kweli yupo kwa ajili yako.
 
3.Ni yule ambaye hakuambii kile unachotaka kusikia, lakini anakuambia unachohitaji kusikia. tunza hilo.
 
4.Vitu vizuri vilivyogunduliwa marafiki wa kweli walikifanya, ni kukua tofauti bila ya kukua mbali na kila moja.
 
6.Rafiki ni yule anayeweza kuona ukweli na maumivu ndani yako, hata wakati unapokuwa unamdanganya kila mtu .
 
9.Zungukwa na watu wanaokufanya uwe na njaa ya maisha, wanaogusa moyo wako, na kustawisha roho yako.
 
Back
Top Bottom