Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumpata soulmate mara zote sio kwa ajili ya mapenzi tu . Unaweza kumpata soulmate katika urafiki pia
 
12.Urafiki wa nguvu hauhitaji mazungumzo ya kila siku , hakuhitaji kuwepo pamoja , kama tu mahusiano yenu yapo moyoni, urafiki wa kweli hauvunjiki
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan kuna marafiki zangu waliposikia relationship imeisha
Walifurahi kishenzi maana walikuwa wana nionea huruma halaf wanashindwa kusema
Naona walifanya sherehe[emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja nikasake msosi bhana,baadae[emoji112][emoji112][emoji112]nakuacha na numby hapo
 
19.Urafiki ni kitu kigumu duniani kukielezea, sio kitu cha kujifunza shuleni, lakini kama hujajifunza maana ya urafiki , hujajifunza kitu chochote cha ukweli.
 
20.Urafiki ni zawadi moja kubwa sana kama ukipata alie mkweli na anayemaanisha.

“At work I’ll always stay focused and think of what to improve.”
 
Back
Top Bottom