myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
dunia hii mama mwendo wa ngamia....[emoji441][emoji445]
Hii sehemu nilipoisikia mara ya kwanza nilikuwa naona soo kuitamka...Salaam Matombo
Akili yako inajitegemea yenyewe kwa kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila ingeanzia na "Mi" ingeleta maana ya hovyo kabisa.Hii sehemu nilipoisikia mara ya kwanza nilikuwa naona soo kuitamka...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hata "ma" bado yasimamisha maana...Akili yako inajitegemea yenyewe kwa kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila ingeanzia na "Mi" ingeleta maana ya hovyo kabisa.
Habari za majukumu "Nkundwe" ghwanghu?
Kapotea huyu..Wapi Rutashubanyuma
Bembeza, NgongeleSalaam Msanga Visiga
MadioSalaam Kihurio
we!Madio
Salaam KasuluSalaam Kibondo
Naona wote walishaolewa sasa. Toa mahari mkuu mambo yaishe. Kuwa Mpare siyo guarantee ya kuoa bure. Halafu umeenda madhabahuni na mke ambaye hujamtolea mahari. Unafikiri hiyo inakubalika machoni pa Bwana? Ingekuwa sheria za Musa ndo zinafanya kazi usingerudi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unataka kuniozesha Dada yako mwingine???
Kwema mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Naona wote walishaolewa sasa. Toa mahari mkuu mambo yaishe. Kuwa Mpare siyo guarantee ya kuoa bure. Halafu umeenda madhabahuni na mke ambaye hujamtolea mahari. Unafikiri hiyo inakubalika machoni pa Bwana? Ingekuwa sheria za Musa ndo zinafanya kazi usingerudi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]